ارسل ملاحظاتك

ارسل ملاحظاتك لنا







Dhima za Utanzia Katika Riwaya za Kiswahili: Mifano Kutoka Kuli na Vuta N’kuvute

العنوان بلغة أخرى: The Roles of Tragic in Swahili Novels: Examples from Dockworker and Tug of War
المصدر: مجلة الدراسات الافريقية
الناشر: جامعة القاهرة - معهد البحوث والدراسات الافريقية
المؤلف الرئيسي: Ali, Haji Khatibu (Author)
المجلد/العدد: مج45, ع4
محكمة: نعم
الدولة: مصر
التاريخ الميلادي: 2023
الشهر: أكتوبر
الصفحات: 861 - 883
ISSN: 1110-6018
رقم MD: 1417156
نوع المحتوى: بحوث ومقالات
اللغة: غير معروف
قواعد المعلومات: EcoLink, HumanIndex
مواضيع:
كلمات المؤلف المفتاحية:
Swahili Novels | Adam Shafi | Dockworker
رابط المحتوى:
صورة الغلاف QR قانون
حفظ في:
المستخلص: Everything under the sun should have specific functions here and there. The field of literature as a sociology discipline does not avoid the threshold of having a responsibility in society. In the long list of literary responsibilities among them are educating, entertaining, promoting language, maintaining and inheriting the deeds of society. In order for the author to master literary work in terms of content, he has to enforce himself to use the elements of form through various artistic techniques. Tragic is the one of artistic elements that are used by literary composers for specific role. The troubling issue is the lack of recognition of his roles in the field of Swahili novels. This flaw is caused by the objection of not being properly addressed by the paper literary stakeholders. This idea is essence of article which is based on a discussion about tragic roles in Swahili novels with reference to Kuli (Dockworker) and Vuta N’kuvute (Tug of War). Library reading and interview methods have been fully used in data collection. Data that has been analyzed with descriptive approach guided by functional theory. The paper has revealed that Adam Shafi did not leave it in the air, but he has refined it for eleven basic roles.

Kila kilichomo chini ya jua hakijiweki chonjo na dhima za hapa na pale. Uwanja wa fasihi kama taaluma ya sosholojia haikwepi kizingiti cha kuwa na dhima katika jamii. Katika orodha ndefu ya dhima za fasihi miongoni mwazo ni pamoja na kuelimisha, kuburudisha, kukuza lugha, kutunza na kurithisha amali za jamii. Ili mtunzi aimudu vyema kazi ya fasihi kimaudhui hana budi kujilazimisha katika usukaji wa vipengele vya kifani kupitia mbinu mbalimbali za kibunulizi. Utanzia nao ni mojawapo ya kipengele cha kibunulizi ambacho kinatumiwa na watunzi kwa dhima maalumu. Suala linalotatiza ni kutojulikana kwa dhima zake katika ulingo wa riwaya za Kiswahili. Dosari hii inasababishwa na kipingamizi cha kutoshughulikiwa ipasavyo na wadau wa fasihi kiutafiti. Fikra hii ndiyo kiini cha makala hii ambayo imejikita kwenye mjadala unaohusu dhima za utanzia katika riwaya za Kiswahili, kwa kurejelea Kuli na Vuta N’kuvute. Njia za usomaji wa maktabani na mahojiano zimetumika kikamilifu katika ukusanyaji wa data. Data amabazo zimechambuliwa kwa mkabala wa maelezo huku tukiongozwa na Nadharia ya Uamilifu. Utafiti umebaini kuwa Adam Shafi hakuuacha utanzia hewani, bali ameusarifu kwa madhumuni kumi na moja ya msingi.

ISSN: 1110-6018

عناصر مشابهة